Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameashiria kumalizika kwa duru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana ya nyuklia kati ya Iran na Marekani yaliyofanyika jana Jumamosi mjini Rome, Italia kwamba, mazungumzo ya kiufundi katika ngazi ya wataalamu yataanza siku ya Jumatano nchini Oman.
Related Posts
Maelfu ya Waomani na Walibya waandamana kuunga mkono Palestina + Video
Maelfu ya wananchi wa Oman wamefanya maandamano kulaani jinai za utawala wa Kizayuni na kuliunga mkono taifa madhlumu la Palestina.…
Maelfu ya wananchi wa Oman wamefanya maandamano kulaani jinai za utawala wa Kizayuni na kuliunga mkono taifa madhlumu la Palestina.…
HAMAS: Tumekuwa na mazungumzo ya mfululizo na wapatanishi kwa ajili ya kusitishwa vita Ghaza
Bassem Naim, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amethibitiha kuwa katika siku…
Bassem Naim, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amethibitiha kuwa katika siku…
Jaribio la kwanza la kurusha roketi anga za juu barani Ulaya lafeli
Roketi la anga ya juu ya Ulaya ilimepuka muda mfupi tu baada ya kuzinduliwa. Post Views: 13
Roketi la anga ya juu ya Ulaya ilimepuka muda mfupi tu baada ya kuzinduliwa. Post Views: 13