Katika kesi ya halaiki, Tunisia yawahukumu washtakiwa 40 vifungo vya hadi miaka 66 jela

Mahakama ya Tunisia imewahukumu viongozi kadhaa wa upinzani, mawakili na wafanyabiashara vifungo vya kati ya miaka 13 hadi 66 jela kwa makosa ya kula njama na ya kuhatarisha usalama wa taifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *