Press TV: Duru ya pili ya mazungumzo ya Iran na Marekani imefanyika Rome katika ‘anga chanya’

Duru ya pili ya mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani imefanyika katika mji mkuu wa Italia, Rome leo Jumamosi katika “anga chanya”. Hayo yameelezwa na ripota wa chaneli ya televisheni ya Press TV.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *