Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Man United macho kwa Semenyo, City kwa Gibbs-White

Manchester City wanaongoza mbio za kumsajili Morgan Gibbs-White wa Nottingham Forest, huku Manchester United ikiwataka Antoine Semenyo wa Bournemouth na Tyler Dibling wa Southampton.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *