Kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Russia wa kuliondoa kundi la Taliban kwenye orodha ya mashirika yaliyopigwa marufuku, Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba hatua hiyo haibadilishi hadhi ya Taliban katika taasisi hiyo na kwamba vikwazo vya kimataifa dhidi ya kundi hilo vitaendelea kuwepo.
Related Posts

Watu 28 wauawa, 46 wajeruhiwa katika mapigano mapya magharibi mwa Sudan
Takriban raia 28 wameuawa na wengine 46 wamejeruhiwa katika shambulio lililofanywa na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko…

Muungano wa Madaktari wa Sudan Kusini waitaka serikali kushughulikia mlipuko wa kipindupindu
Muungano wa Madaktari wa Sudan Kusini (SSDU) umeitaka serikali kushughulikia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu unaoongezeka nchini humo. Ugonjwa wa…

Aliyempiga ngumi Waziri Mkuu wa Denmark afungwa jela
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…