Mjukuu wa Houphouët-Boigny apasishwa na upinzani kugombea kiti cha rais Ivory Coast

Katika hatua muhimu kwenye siasa za Ivory Coast, Chama cha Kidemokrasia cha Côte d’Ivoire (PDCI), moja ya vyama maarufu vya upinzani, kimempasisha mwenyekiti wake, Tidjane Thiam, kugombea katika uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Oktoba 25, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *