Wayahudi wa Uingereza walaani vita vya Israel dhidi ya watu wa Gaza

Wawakilishi kadhaa wa jamiii ya Wayahudi nchini Uingereza wamelaani sera za serikali ya Benjamin Netanyahu, wakiishutumu kwa kutenda kinyume na “maadili ya Kiyahudi” kuhusiana na vita dhidi ya watu wa Gaza huko Palestina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *