Wasiwasi wa Ulaya kwa mgeuko mkubwa wa sera za Marekani kuhusiana na washirika wake

Kubadilika sera za nje za Marekani kumeanza kidogo kidogo kuwatoa mafichoni wanasiasa wa Ulaya kwa kuwafanya waeleze kinagaubaga na kwa uwazi zaidi wasiwasi walionao kuhusu sera za Donald Trump za kujichukulia hatua za upande mmoja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *