Ayatullah Khatami: Iran haishurutishwi wala haisalimu amri

Khatibu wa Swala ya leo ya Ijumaa katika jiji la Tehran ameashiria mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani kuhusu suala la nyuklia na kuondolewa vikwazo na akasema: “Katika mazungumzo hayo, tunapasa kuwa makini na tusimtegemee yoyote isipokuwa Mwenyezi Mungu, tusichoke kupambana, na tusifungamanisha hatima yetu na mazungumzo.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *