Mawaziri wa Afya wa Afrika wazindua kampeni ya chanjo ya Polio katika eneo la Bonde la Ziwa Chad

Mawaziri wa afya wa Afrika kutoka eneo la Bonde la Ziwa Chad wamezindua kampeni ya chanjo yenye lengo la kuwalinda watoto milioni 83 walio chini ya umri wa miaka 5 dhidi ya aina ya pili ya ugonjwa wa Polio.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *