UN yalaani mashambulizi ya RSF huko El Fasher, yatoa wito wa kuondolewa mzingiro

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali mashambulizi “ya mara kwa mara” ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) dhidi ya El Fasher, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini huko magharibi mwa Sudan, likitaka kukomeshwa mzingiro wa mji huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *