Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: Arsenal yamtaka Coman, Madrid wamgeukia Haaland

Manchester United na Liverpool zinamtaka mshambuliaji wa Lyon, Rayan Cherki, Arsenal wanamtala winga wa Bayern Munich, Kingsley Coman, huku Chelsea wakifuatilia uwezekano wa kumsajili Virgil van Dijk msimu huu wa joto.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *