Tanzania yatishia kupiga marufuku biashara na Malawi na Afrika Kusini

Onyo hilo lilitolewa na Waziri wa Kilimo wa Tanzania, Hussein Bashe, kufuatia uamuzi wa Malawi wa kuzuia uingizaji wa bidhaa kutoka Tanzania kama vile unga, mchele, tangawizi, ndizi na mahindi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *