Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya Usawa wa Jinsia (UN Women), Bi. Hodan Addou, baada ya kikao chao kilichofanyika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Shirika hilo na Tanzania.
The post DKT. NCHEMBA ATETA NA MWAKILISHI MKAZI (UN WOMEN) appeared first on Mzalendo.