Mgogo wa kidiplomasia baina ya Algeria na mkoloni Ufaransa wazidi kupamba moto

Uamuzi wa Ikulu ya mkoloni kizee Ufaransa wa kumrejesha nyumbani balozi wake wa nchini Algeria na kuwafukuza wanadiplomasia 12 wa Algeria nchini humo umezidisha moto wa mgogoro kati ya Paris na Algiers ambapo afisa mmoja wa Algeria amesema kuwa, Ufaransa ndiyo inayopaswa kulaumiwa kwa kuzorotesha uhusiano wake na Algiers.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *