Kwa mara nyingine Afrika Kusini yalaani ukatili wa Israel dhidi ya hospitali huko Ghaza

Afrika Kusini kwa mara nyingine tena jana Jumatano iliushutumu utawala wa Kizayuni kwa mashambulizi yake ya mara dhidi ya maeneo ya raia, zikiwemo hospitali za Ghaza, na kusema ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa za kibinadamu unaofanywa na Israel.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *