Je, silaha hii ya India imeiweka miongoni mwa mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi duniani?

India imetangaza kuwa imefanyia majaribio kwa mafanikio mfumo unaotumia teknolojia ya leza kuharibu ndege zinazoshukiwa kuwa zisizo na rubani na makombora ya adui.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *