Kiwewe cha Trump kwa hatua za China: Juhudi za Beijing kuunda muungano dhidi ya Washington

Rais wa Marekani Donald Trump ameshindwa kuficha kiwewe chake kwa kusema kuwa ziara ya Rais Xi Jinping wa China nchini Vietnam inalenga kuiharibia jina Marekani, huku kukiwa na ongezeko la vita vya ushuru kati ya Washington na Beijing.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *