China: Hatuogopi kupigana vita vya kibiashara na Marekani

China imeonya kwamba “haiogopi” kupigana vita vya kibiashara na Marekani, ikikariri wito wa mazungumzo baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kusema kwamba Beijing lazima ichukue hatua ya kwenda kwenye meza ya mazungumzo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *