White House: Trump angali anataka Canada iwe jimbo la 51 la Marekani

Msemaji wa Ikulu ya White House ametangaza kuwa Rais wa Marekani angali ana nia ya kuiunganisha Canada na ardhi ya nchi hiyo na kuigeuza kuwa jimbo la 51 la Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *