CHADEMA: Haki ya kikatiba haiwezi kuondolewa na kanuni za Tume ya Uchaguzi ya Tanzania

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimesema kutenguliwa kwake katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ni kinyume cha katiba. Kauli hiyo imetolewa siku chache baada ya Mwenyekiti Taifa wa chama hicho kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uhaini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *