Jeshi la Sudan lasonga mbele Omdurman Magharibi, lateka tena maeneo 3 kutoka RSF

Jeshi la Sudan jana lilitangaza kuwa limesonga mbele katika eneo la Omdurman Magharibi na kukomboa maeneo matatu na kambi moja kutoka kwa wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *