Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed O.Mchengerwa akiwasili Bungeni tayari kuwasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais- TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2025/26
The post WAZIRI MCHENGERWA AWASILI BUNGENI appeared first on Mzalendo.