Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais- TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 16, 2025 Bungeni Jijini Dodoma.
The post WAZIRI MCHENGERWA AKIWASILISHA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI BUNGENI appeared first on Mzalendo.