UN: Kati ya Wasudan 3 mmoja ni mkimbizi na kati ya wakimbizi 6 duniani, mmoja ni Msudan

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, Kanda ya Afrika Mashariki, Pembe ya Afrika na Maziwa Makuu, Mamadou Dian Balde amesema, mmoja kati ya Wasudan watatu kwa sasa ni wakimbizi, na mmoja kati ya watu sita waliopoteza makazi yao duniani anatoka Sudan.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *