Watu wanne wafariki Rwanda na hekari 70 za mazao zaharibika kufuatia mvua kubwa

Watu wanne wamepoteza maisha yao na angalau hekari 70 za mazao zimeharibika ati ya Aprili 10 na 13, kufuatia mvua kubwa zilizosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi nchini Rwanda. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Wizara ya Usimamizi wa Masuala ya Dharura.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *