Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri Bungeni 15 Aprili, 2025. Kutoka kushoto ni Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Ujenzi, Abdallah Ulega, Bungeni 15 Aprili, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Neema Lugangira, Bungeni 15 Aprili, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
The post MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA appeared first on Mzalendo.