Kamishn Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali mashambulizi mabaya ya hivi karibuni ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko eneo la Darfur Kaskazini nchini Sudan akisema kuwa, mashambulizi hayo yanaashiria kushindwa kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za maana licha ya maonyo ya mara kwa mara.
Related Posts
Kamanda wa Kikosi cha Quds: Kipigo kikubwa zaidi dhidi ya Israel kimeonekana
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, kuanza utekelezaji…
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, kuanza utekelezaji…
Wanajeshi wengi wa Kiukreni hudumu siku chache tu – FT
Wanajeshi wengi wa Kiukreni hudumu siku chache tu – FTWanajeshi wapya “wanakimbia baada ya mlipuko wa kwanza,” kamanda mmoja aliambia…
Wanajeshi wengi wa Kiukreni hudumu siku chache tu – FTWanajeshi wapya “wanakimbia baada ya mlipuko wa kwanza,” kamanda mmoja aliambia…
Alkhamisi, tarehe 20 Februari, 2025
Leo ni Alkhamisi tarehe 21 Sha’ban 1446 Hijria sawa na Februari 20 mwaka 2025. Post Views: 23
Leo ni Alkhamisi tarehe 21 Sha’ban 1446 Hijria sawa na Februari 20 mwaka 2025. Post Views: 23