Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Ufaransa cha kukataa kutoa maelezo ya kukamatwa Mahdieh Esfandiari, raia wa Iran anayeishi katika mji wa Lyon, kaskazini mwa magharibi mwa Ufaransa, zaidi ya mwezi mmoja baada kutiwa kwake mbaroni na vyombo vya usalama vya nchi hiyo ya Ulaya.
Related Posts

Mahojiano ya Trump na Musk yakumbwa na changamoto za kiufundi
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…

Wanawake wa Palestina wanalishwa futari zilizooza kwenye jela za Israel
Mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa kidhulma katika jela za Israel ikiwemo ile jela ya Damon wanaishi katika mateso makubwa yasiyoelezeka hasa…

Wanajeshi wa Ufaransa kutimuliwa pia nchini Senegal
Ufaransa na Senegal zimeeleza kuwa zimeamua kuunda tume ikiwa ni katika fremu ya maandalizi ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa katika…