Trump au mkoloni muflisi? Ukosoaji mkali wa mchumi wa Ufaransa dhidi ya sera za Marekani

Gazeti la Ufaransa la “Le Monde” limekosoa sera za serikali ya Marekani katika kuamiliana na nchi nyingine na kuandika: “Mgogoro uliopo si wa kiuchumi tu, bali pia ni mgogoro wa uhalali na utendaji wa kisiasa, unaotokana na uozo wa muundo wa madaraka nchini Marekani.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *