Brice Oligui Nguema, kiongozi wa serikali ya mpito ya Gabon na mwanajeshi aliyeongoza mapinduzi ya mwaka 2023, amepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo wa 90.35% ya kura. Hayo ni kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani jana Jumapili.
Related Posts
Mipapurano Israel, mkuu wa ujasusi nje! Haaretz: Netanyahu atupeleka kuzimu
Hatua ya waziri mkuu wa Israel ya kutangaza kumfuta kazi mkuu wa genge la kijasusi la Shin Bet la utawala…
Hatua ya waziri mkuu wa Israel ya kutangaza kumfuta kazi mkuu wa genge la kijasusi la Shin Bet la utawala…
Mdororo wa uchumi Ujerumani; Siemens kuwafuta kazi watu 6,000
Kampuni kubwa ya masuala ya uhandisi na teknolojia ya Siemens imesema inapania kupunguza kazi karibu 6,000 duniani kote, zikiwemo 2,850…
Kampuni kubwa ya masuala ya uhandisi na teknolojia ya Siemens imesema inapania kupunguza kazi karibu 6,000 duniani kote, zikiwemo 2,850…
Jeshi la Uganda: Tumeua waasi zaidi ya 200 mashariki ya DRC
Jeshi la Uganda limetangaza habari ya kuwaua mamia ya wapiganaji wa kundi la waasi wa CODECO baada ya kushambulia kambi…
Jeshi la Uganda limetangaza habari ya kuwaua mamia ya wapiganaji wa kundi la waasi wa CODECO baada ya kushambulia kambi…