Jeshi la Yemen laangusha ndege 19 ya kivita ya Marekani

Jeshi la Yemen limetangaza kuangusha tena ndege ya kisasa ya kivita isiyo na rubani aina ya MQ-9 ya Jeshi la Marekani katika anga ya nchi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *