Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, tunapoangalia mawasiliano ya maandishi yaliyofanyika tangu mwanzo wa mchakato uliopelekea kufanyika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati yetu na Marekani tutaona kuwa, msingi wa mawasiliano hayo haukuwa na chochote kingine ghairi ya suala la nyuklia.
Related Posts
Baraza la Haki la UN lalaani mauaji mapya ya kimbari Gaza
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina…
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina…
Afrika Kusini, Malaysia na Colombia zapinga meli zenye silaha katika bandari zao kwa ajili ya Israel
Viongozi wa Afrika Kusini, Malaysia na Colombia zimetangaza katika jarida moja katika makala yao ya pamoja kwamba watazizuia meli zilizobeba…
Viongozi wa Afrika Kusini, Malaysia na Colombia zimetangaza katika jarida moja katika makala yao ya pamoja kwamba watazizuia meli zilizobeba…
Baghaei: Israel imevunja rekodi zote za mauaji ya watoto duniani
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, mauaji ya watoto yanayofanywa na Israel huko Ghaza yamevunja…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, mauaji ya watoto yanayofanywa na Israel huko Ghaza yamevunja…