Watu 32 wauawa katika shambulizi la kombora la masafa marefu la Urusi mjini Sumy Ukraine

Takriban watu 32 wameuawa na 84 kujeruhiwa, wakiwemo watoto 10, baada ya shambulio la Urusi katikati mwa mji wa Sumy, kulingana na mamlaka ya Ukraine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *