Watu 8 wameuawa na 11 kujeruhiwa katika mlipuko wa Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria

Takriban watu wanane wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa wakati basi moja katika Jimbo la Borno nchini Nigeria lilipokanyaga bomu lililotegwa ardhini na magaidi wa Boko Haram.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *