Côte d’Ivoire yaatishia kuongeza gharama za mauzo ya kakao katika kukabiliana na ushuru wa Trump

Waziri wa Kilimo wa Côte d’Ivoire, Kobenan Kouassi Adjoumani, amesema nchi yake, mzalishaji mkubwa wa kakao duniani, inaweza kuchukua hatua ya kuongeza bei ya bidhaa hiyo iwapo mapendekezo ya ushuru wa Rais Donald Trump wa marekani dhidi ya nchi yake yataanza kutekelezwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *