Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan na mashirika ya misaada ya kibinadamu yamesema kuwa mamia ya watu wameuawa na kujeruhiwa katika shambulio lililofanywa jana na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kwenye kambi ya Zamzam ya wakimbizi wa ndani katika mji wa El Fasher, Jimbo la Darfur Kaskazini, magharibi mwa Sudan.
Related Posts
Kamanda: Jeshi la Iran linabadilisha mbinu za kukabiliana na vitisho
Kamanda mwandamizi wa Iran amesema Iran itabadilisha mbinu na mikakati yake ya kijeshi ili kukabiliana na vitisho vinavyobadilika. Kamanda wa…

Kufichuka nia halisi ya utawala wa Kizayuni nchini Syria
Kimya na kutochukua hatua yoyote watawala wapya wa Syria vimeufanya utawala wa Kizayuni wa Israel ufikirie kuyatwaa kabisa maeneo mapya…

Misri Yaiunga mkono Lebanon dhidi ya Vitisho vya Israel
Misri Yaiunga mkono Lebanon dhidi ya Vitisho vya Israel Misri Yaiunga mkono Lebanon dhidi ya Vitisho vya IsraelTEHRAN (Tasnim) –…