Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa, kulipuliwa kwa Hospitali ya Kibaptisti katika mji wa Gaza, kuharibiwa jengo la mapokezi na huduma za dharura na kutimuliwa wagonjwa na majeruhi ni uhalifu mpya wa kivita uliofanywa na jeshi la Israel kwa baraka za Marekani ikiwa ni sehemu ya uhalifu wa kikatili unaoendelea kufanywa katika Ukanda wa Gaza.
Related Posts
“Jina langu ni Mahmoud Khalil, mimi ni mfungwa wa kisiasa”
Mahmoud Khalil, mwanafunzi wa Kipalestina katika Chuo Kikuu cha Columbia nchinii Marekani, amejieleza kama mfungwa wa kisiasa katika maoni yake…
Mahmoud Khalil, mwanafunzi wa Kipalestina katika Chuo Kikuu cha Columbia nchinii Marekani, amejieleza kama mfungwa wa kisiasa katika maoni yake…
Shirika la Msalaba Mwekundu lakanusha kuhusika na ndege iliyoshambuliwa DRC
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imekanusha kuhusika kivyovyote vile na ndege ya misaada ya kibinadamu iliyoshambuliwa mashariki mwa…
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imekanusha kuhusika kivyovyote vile na ndege ya misaada ya kibinadamu iliyoshambuliwa mashariki mwa…
Ubelgiji yajibu: Wanadiplomasia wa Rwanda hawatakiwi nchini mwetu
Ubelgiji imejibu hatua ya Rwanda ya kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na nchi hiyo ya Ulaya na kusema kuwa, wanadiplomasia…
Ubelgiji imejibu hatua ya Rwanda ya kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na nchi hiyo ya Ulaya na kusema kuwa, wanadiplomasia…