Iran: Mazungumzo ya Oman ni chanya na ya matumaini; kuendelea wiki ijayo

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi ameitaja duru ya kwanza ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani kuwa “chanya na yenye kuleta matumaini.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *