Makabiliano yaliripuka mjini Amsterdam kati ya polisi ya Uholanzi na waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina, wakati waandamanaji hao wakipita katika kitovu cha fedha cha mji huo, wakizituhumu kampuni kubwa kwa kujinufaisha kutokana na uhusiano wao na Israel wakati huu wa vita vinavyoendelea Gaza.
Related Posts
Iran yataka kufanyika kikao cha dharura cha OIC kujadili kadhia ya Palestina
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza na kubadilishana mawazo na mwenzake wa Gambia, Mamadou Tangara, ambaye nchi yake…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza na kubadilishana mawazo na mwenzake wa Gambia, Mamadou Tangara, ambaye nchi yake…
Angola kusimamia mazungumzo ya moja kwa moja kati ya DRC na waasi wa M23
Angola imetangaza kuwa itajaribu kusaidia kufanikisha mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na…
Angola imetangaza kuwa itajaribu kusaidia kufanikisha mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na…

Jenerali mkuu wa Ukraine alishambulia Kursk kutokana na kukata tamaa – Mchumi
Jenerali mkuu wa Ukraine alishambulia Kursk kutokana na kukata tamaa – Mchumi Aleksandr Syrsky alikuwa katika hatihati ya kutimuliwa wakati…
Jenerali mkuu wa Ukraine alishambulia Kursk kutokana na kukata tamaa – Mchumi Aleksandr Syrsky alikuwa katika hatihati ya kutimuliwa wakati…