Tetesi za soka Jumamosi: Man utd waweka kima cha kumunua Hojlund

Manchester United wameweka bei ya kumnunua Rasmus Hojlund, Manchester City wamejua kima cha kumnunua Morgan Gibbs-White, huku Real Madrid wakiamua kusubiri ili kumsajili William Saliba.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *