Umoja wa Mataifa umesema wanawake na watoto wa Kipalestina ndio pekee waliouawa katika mashambulizi yapatayo 36 ya anga yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukada wa Ghaza tangu katikati ya mwezi Machi na kuonya kwamba mashambulizi ya kijeshi ya Israel yanahatarisha “kuendelea kuwepo Wapalestina kama jamii”.
Related Posts
Jumanne, 18 Februari, 2025
Leo ni Jumanne 19 Shaaban 1446 Hijria sawa na 18 Februari 2025. Post Views: 16
Leo ni Jumanne 19 Shaaban 1446 Hijria sawa na 18 Februari 2025. Post Views: 16
Wimbi la hasira za walimwengu liwakumbe Wazayuni na wenzao
Mjumbe wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu ambaye pia ni Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amegusia jinai…
Mjumbe wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu ambaye pia ni Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amegusia jinai…
Iran yataka OIC iitishe mkutano wa dharura kuijadili Gaza
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amekosoa vikali mpango wa pamoja wa Marekani na Israel wa kuwahamisha…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amekosoa vikali mpango wa pamoja wa Marekani na Israel wa kuwahamisha…