Afrika Kusini yatoa mwito wa kuimarishwa mfumo wa biashara wa pande nyingi kuikabili Marekani

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuimarisha mfumo wa biashara wa pande nyingi ambao hivi sasa unatishiwa na siasa za kibeberu za Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *