Mamilioni waandamana Yemen kuunga mkono Ghaza

Mamilioni ya wananchi wa Yemen wamemiminika mitaani katika mkoa wa Sa’ada leo Ijumaa na kufurika katika viwanja 35 vya mkoa huo wa kaskazini ya Yemen chini ya kaulimbiu ya “Jihadi, Uthabiti na Ushujaa… Hatutaiacha peke yake Ghaza.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *