Kwanini maigizo ya ‘Echoes of War’ yanaigonganisha Siasa na Sanaa Kenya?

Kulingana na Waziri wa Elimu nchini Kenya Julius Ogamba serikali haikuzuia Shule ya Upili ya Wasichana ya Butere kucheza mchezo wao wa ‘Echoes of War’ katika Tamasha za Kitaifa za Drama.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *