Ennahda ya Tunisia yataka kuachiliwa wafungwa wa kisiasa walio kwenye mgomo wa kula

Harakati ya upinzani nchini Tunisia ya Ennahda imetoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kuwaachilia huru wafungwa wa kisiasa wanaogoma kula.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *