Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya Palestina ameonya kwamba “hakuna muda mwingi uliobaki” kuwaokoa watu wa Palestina wakati huu ambapo Israel inaendeleza mashambulizi yake mtawalia katika Ukanda wa Gaza, na ukandamizaji unaoendelea katika Ukingo wa Magharibi.
Related Posts
Masharti ya Iran kwa ajili ya kufanya mazungumzo na nchi za Magharibi
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena imekataa mazungumzo yoyote ya kulazimishwa na kusisitiza kuwa haitafanya mazungumzo kwa…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran atoa wito wa umoja katika ujumbe wa Idul Fitr
Katika ujumbe wa pongezi kwa wenzake Waislamu kwa mnasaba wa sikukuu ya Idul Fitr, inayoadhimisha baada ya kumalizika mwezi mtukufu…

Saudia: Israel inahatarisha usalama na utulivu wa eneo zima
Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudia imesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unatishia usalama na utulivu wa eneo…