Sudan yaiambia ICJ kuwa UAE inachochea mauaji ya halaiki Darfur

Sudan iliiambia Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) jana Alhamisi kwamba, Umoja wa Falme za Kiarabu umekiuka Mkataba wa Mauaji ya Kimbari kwa kuunga mkono vikosi vya wanamgambo huko Darfur, na kuwataka majaji wa mahakamh hiyo kutoa amri ya dharura ya kuzuia mauaji ya kimbari katika eneo hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *