Manupuli: Je, ni kweli miti hii huuma na kung’ata watu na mifugo?

Makabila hayo yameipa jina la Manupuli wakisema kuwa miti na fimbo zake katika kijijini hicho ilikuwa ikiwang’ata watu na mifugo pamoja na kuwazingira wapita njia. Walakini, wataalam wa mimea wanasema kwamba hakuna kitu kama hicho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *