Kamanda Mkuu wa Marekani katika Kamandi ya jeshi la nchi hiyo barani Ulaya amesema, mauzo ya silaha za Marekani kwa nchi za Ulaya yameongezeka kwa asilimia 600 tangu vilipoanza vita kati ya Russia na Ukraine na akaongeza kuwa, thamani ya kiwango cha silaha zilizoagizwa na nchi za Ulaya tangu vilipoanza vita kati ya Russia na Ukraine hadi sasa imefikia dola bilioni 265.
Related Posts
Kwa mara ya kwanza Gallant akiri kuwa Israel yenyewe iliwaua Wazayuni 1,200 Oktoba 7, 2023
Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni Yoav Gallant amekiri kuwa utawala huo haramu ulitumia itifaki ya kutisha…

Kamala Harris asema vifo vya raia ni ‘vingi sana’ Gaza
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…

Ukraine yaendelea kusonga mbele ndani ya eneo la Urusi